Numbers 5:27
Kama amejitia unajisi na kukosa uaminifu kwa mumewe, wakati anapotakiwa anywe maji yale yaletayo laana, yatamwingia na kusababisha maumivu makali; tumbo lake litavimba na paja lake litapooza, naye atakuwa amelaaniwa miongoni mwa watu wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 5:20Lakini ikiwa umepotoka wakati ukiwa umeolewa na mume wako na umejinajisi mwenyewe kwa kukutana kimwili na mwanaume mwingine asiyekuwa mumeo”;
Psalms 83:9Uwatendee kama vile ulivyowatendea Midiani, 2 na kama vile ulivyowatendea Sisera na Yabini 2 hapo kijito cha Kishoni, 1
Proverbs 5:4lakini mwisho wake ni mchungu kama nyongo, 2 mkali kama upanga ukatao kuwili. 1
Isaiah 65:15Mtaliacha jina lenu 2 kuwa laana kwa watu wangu waliochaguliwa; 1 Bwana Mwenyezi atawaua ninyi, 2 lakini watumishi wake atawapa jina jingine. 1
Jeremiah 29:18Nitawafukuza kwa upanga, kwa njaa na kwa tauni, nami nitawafanya kitu cha kuchukiza sana kwa falme zote za dunia, na kuwa kitu cha laana na cha kuogofya, cha dharau na kukemewa, miongoni mwa mataifa yote nitakakowafukuzia.
Jeremiah 42:18Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: ‘Kama vile hasira yangu na ghadhabu yangu ilivyomwagwa juu ya wale walioishi Yerusalemu, ndivyo ghadhabu yangu itakavyomwagwa juu yenu mtakapokwenda Misri. Mtakuwa kitu cha kulaania na cha kutisha, cha kulaumia na cha kushutumia, nanyi kamwe hamtaona mahali hapa tena.’