Numbers 6:10
Kisha siku ya nane ni lazima alete hua wawili au makinda mawili ya njiwa kwa kuhani katika mlango wa Hema la Kukutania.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 1:14“ ‘Kama sadaka ya kuteketezwa inayotolewa kwa Bwana ni ndege, atamtoa hua au kinda la njiwa.
Leviticus 9:1Katika siku ya nane, Mose akawaita Aroni na wanawe, na wazee wa Israeli.
Leviticus 14:22na hua wawili au makinda mawili ya njiwa, kile atakachoweza kupata, mmoja kwa sadaka ya dhambi, na mwingine kwa sadaka ya kuteketezwa.
Leviticus 15:14Siku ya nane, atachukua hua wawili au makinda mawili ya njiwa, aje mbele za Bwana kwenye ingilio la Hema la Kukutania, na kumpa kuhani.
Ezekiel 44:26Baada ya kujitakasa, atakaa hali hiyo kwa muda wa siku saba.
Romans 4:25Alitolewa afe kwa ajili ya dhambi zetu, naye alifufuliwa kutoka mauti ili tuhesabiwe haki.