bible.software › Numbers › Numbers 7 › Numbers 7:18
Numbers 7:18
Siku ya pili yake Nethaneli mwana wa Suari, kiongozi wa kabila la Isakari, alileta sadaka yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
On the second day Nethaneel the son of Zuar, prince of Issachar, did offer:
In Context
17maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Nashoni mwana wa Aminadabu.
19Sadaka aliyoleta ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka;
Read all of Numbers 7
Cross References
Numbers 1:8kutoka Isakari, ni Nethaneli mwana wa Suari; 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 7:18