bible.software › Numbers › Numbers 7 › Numbers 7:30
Numbers 7:30
Siku ya nne Elisuri mwana wa Shedeuri, kiongozi wa kabila la Reubeni, alileta sadaka yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
On the fourth day Elizur the son of Shedeur, prince of the children of Reuben, did offer:
In Context
29maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Eliabu mwana wa Heloni.
31Sadaka aliyoleta ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka;
Read all of Numbers 7
Cross References
Numbers 1:5Haya ndiyo majina ya wanaume watakaowasaidia: 1 “kutoka Reubeni, ni Elisuri mwana wa Shedeuri; 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 7:30