Hesabu 7:45
fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
One young bullock, one ram, one lamb of the first year, for a burnt offering:
In Context
44sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba;
46mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi;
Cross References
Psalms 66:15Nitakutolea dhabihu za wanyama wanono 2 na sadaka za kondoo dume, 2 nitakutolea mafahali na mbuzi. 1
2 Corinthians 5:21Kwa maana Mungu alimfanya yeye asiyekuwa na dhambi kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kufanywa haki ya Mungu kwake yeye.