bible.software › Numbers › Numbers 7 › Numbers 7:60
Numbers 7:60
Siku ya tisa Abidani mwana wa Gideoni, kiongozi wa watu wa Benyamini, alileta sadaka yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
On the ninth day Abidan the son of Gideoni, prince of the children of Benjamin, offered:
In Context
59maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Gamalieli mwana wa Pedasuri.
61Sadaka aliyoleta ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka;
Read all of Numbers 7
Cross References
Numbers 1:11kutoka Benyamini, ni Abidani mwana wa Gideoni; 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 7:60