bible.software › Numbers › Numbers 7 › Numbers 7:68
Numbers 7:68
sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
One golden spoon of ten shekels, full of incense:
In Context
67Sadaka aliyoleta ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka;
69fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa;
Read all of Numbers 7
This Verse In Other Editions
Study Numbers 7:68