bible.software › Numbers › Numbers 7 › Numbers 7:72
Numbers 7:72
Siku ya kumi na moja Pagieli mwana wa Okrani, kiongozi wa watu wa Asheri, alileta sadaka yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
On the eleventh day Pagiel the son of Ocran, prince of the children of Asher, offered:
In Context
71maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Ahiezeri mwana wa Amishadai.
73Sadaka aliyoleta ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka;
Read all of Numbers 7
Cross References
Numbers 1:13kutoka Asheri, ni Pagieli mwana wa Okrani; 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 7:72