bible.software › Numbers › Numbers 7 › Numbers 7:78
Numbers 7:78
Siku ya kumi na mbili Ahira mwana wa Enani, kiongozi wa watu wa Naftali, alileta sadaka yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
On the twelfth day Ahira the son of Enan, prince of the children of Naphtali, offered:
In Context
77maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Pagieli mwana wa Okrani.
79Sadaka aliyoleta ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka;
Read all of Numbers 7
Cross References
Numbers 1:15kutoka Naftali, ni Ahira mwana wa Enani.”
This Verse In Other Editions
Study Numbers 7:78