bible.software › Numbers › Numbers 8 › Numbers 8:25
Numbers 8:25
lakini watakapofika umri wa miaka hamsini, ni lazima waache kazi zao za kawaida wala wasiendelee.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And from the age of fifty years they shall cease waiting upon the service thereof, and shall serve no more:
In Context
24“Hili linawahusu Walawi: Wanaume wenye umri wa miaka ishirini na mitano au zaidi watakuja kushiriki katika kazi kwenye Hema la Kukutania,
26Wanaweza kuwasaidia ndugu zao kufanya wajibu wao katika Hema la Kukutania, lakini wao wenyewe kamwe hawatafanya hiyo kazi. Basi, hivi ndivyo utakavyogawa wajibu kwa Walawi.”
Read all of Numbers 8
Cross References
2 Timothy 4:7Nimevipiga vita vizuri, mashindano nimeyamaliza, imani nimeilinda.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 8:25