The Bible Software
bible.softwareObadiaObadia 1 › Obadia 1:20

Obadia 1:20

Kundi la Waisraeli walioko uhamishoni Kanaani 2 watarudi na kumiliki nchi mpaka Sarepta. 1 Walioko uhamishoni Sefaradi kutoka Yerusalemu 2 watamiliki miji ya Negebu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the captivity of this host of the children of Israel shall possess that of the Canaanites, even unto Zarephath; and the captivity of Jerusalem, which is in Sepharad, shall possess the cities of the south.

In Context

19Watu kutoka nchi ya Negebu 2 wataikalia milima ya Esau, 1 na watu kutoka miteremko ya vilima 2 watamiliki nchi ya Wafilisti. 1 Watayakalia mashamba ya Efraimu na Samaria, 2 naye Benyamini atamiliki Gileadi. 1

21Waokoaji watakwea juu ya Mlima Sayuni 2 kutawala milima ya Esau. 2 Nao ufalme utakuwa wa Bwana.

Read all of Obadia 1

Cross References

1 Kings 17:9“Ondoka, uende Sarepta ya Sidoni na ukae huko. Nimemwagiza mjane katika sehemu ile akupatie chakula.”

Jeremiah 13:19Miji iliyoko Negebu itafungwa, 2 wala hapatakuwa na mtu wa kuifungua. 1 Watu wa Yuda wote watapelekwa uhamishoni, 2 wakichukuliwa kabisa waende mbali. 1

Jeremiah 33:13Katika miji ya nchi ya vilima, ya vilima vya magharibi na ya Negebu, katika nchi ya Benyamini, katika vijiji vinavyoizunguka Yerusalemu na katika miji ya Yuda, makundi ya kondoo yatapita tena chini ya mkono wa yeye ayahesabuye,’ asema Bwana.

Ezekiel 34:12Kama vile mchungaji atafutavyo kundi lake lililotawanyika wakati akiwa pamoja nalo, hivyo ndivyo nitakavyowatafuta kondoo wangu. Nitawaokoa kutoka mahali pote walipokuwa wametawanyikia katika siku ya mawingu na giza nene.

Hosea 1:10“Hata hivyo Waisraeli watakuwa kama mchanga kando ya bahari, ambao hauwezi kupimika wala kuhesabiwa. Mahali pale walipoambiwa, ‘Ninyi si watu wangu,’ wao wataitwa ‘wana wa Mungu aliye hai.’

Zechariah 10:6“Nitaiimarisha nyumba ya Yuda 2 na kuiokoa nyumba ya Yosefu. 1 Nitawarejesha kwa sababu 2 nina huruma juu yao. 1 Watakuwa kama watu ambao 2 sijawahi kuwakataa 1 kwa sababu mimi ndimi Bwana Mungu wao, 2 nami nitawajibu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Obadia 1:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Obadia 1:19Obadia 1Obadia 1:21 →