The Bible Software
bible.softwareFilemoniFilemoni 1 › Filemoni 1:9

Filemoni 1:9

lakini ninakuomba kwa upendo, mimi Paulo, mzee na pia sasa nikiwa mfungwa wa Kristo Yesu,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Yet for love’s sake I rather beseech thee, being such an one as Paul the aged, and now also a prisoner of Jesus Christ.

In Context

8Hata hivyo, ingawa katika Kristo ningeweza kuwa na ujasiri na kukuagiza yale yakupasayo kutenda,

10nakuomba kwa ajili ya mwanangu Onesimo, + 1:10 Onesimo maana yake ni Wa manufaa. aliyefanyika mwanangu nilipokuwa kwenye minyororo.

Read all of Filemoni 1

Cross References

Judges 21:22Baba zao au ndugu zao waume watakapotulalamikia, tutawaambia, ‘Kuweni wakarimu kwetu, nanyi mturuhusu tuwe nao kwa kuwa hatukuweza kumpa kila mtu mke tulipopigana. Lakini ninyi pia hamna hatia, kwa kuwa hamkuwapa wao binti zenu kuwa wake.’ ”

Psalms 71:18Ee Mungu, usiniache, 2 hata niwapo mzee wa mvi, 1 mpaka nitangaze uwezo wako kwa kizazi kijacho, 2 nguvu zako kwa wote watakaokuja baadaye. 1

Isaiah 46:4Hata mpaka wakati wa uzee wenu na mvi, Mimi ndiye, 2 Mimi ndiye nitakayewasaidia ninyi. 1 Nimewahuluku, nami nitawabeba, 2 nitawasaidia ninyi na kuwaokoa. 1

2 Corinthians 5:20Kwa hiyo sisi ni mabalozi wa Kristo, kana kwamba Mungu anawasihi kupitia kwa vinywa vyetu. Nasi twawaomba sana ninyi kwa niaba ya Kristo, mpatanishwe na Mungu.

Ephesians 3:1Kwa sababu hii, mimi Paulo, mfungwa wa Kristo Yesu kwa ajili yenu ninyi watu wa Mataifa:

Philemon 1:1Paulo, mfungwa wa Kristo Yesu, pamoja na Timotheo ndugu yetu: Kwa Filemoni rafiki yetu mpendwa na mtendakazi mwenzetu,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Filemoni 1:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Filemoni 1:8Filemoni 1Filemoni 1:10 →