Wafilipi 4:14
Lakini, mlifanya vyema kushiriki nami katika taabu zangu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Notwithstanding ye have well done, that ye did communicate with my affliction.
In Context
13Naweza kuyafanya mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
Cross References
2 Chronicles 6:8Lakini Bwana akamwambia Daudi baba yangu, ‘Kwa sababu ilikuwa moyoni mwako kujenga Hekalu kwa ajili ya Jina langu, ulifanya vyema kuwa na jambo hili moyoni mwako.
Romans 15:27Imewapendeza kufanya hivyo, naam, kwani ni wadeni wao. Kwa maana ikiwa watu wa Mataifa wameshiriki baraka za rohoni za Wayahudi, wao ni wadeni wa Wayahudi, ili Wayahudi nao washiriki baraka zao za mambo ya mwilini.
Galatians 6:6Basi, yeye afundishwaye katika neno na amshirikishe mwalimu wake mema yote.
Philippians 4:18Nimelipwa kikamilifu hata na zaidi; nimetoshelezwa kabisa sasa, kwa kuwa nimepokea kutoka kwa Epafrodito vile vitu mlivyonitumia, sadaka yenye harufu nzuri, dhabihu inayokubalika na ya kumpendeza Mungu.
Hebrews 10:34Mliwahurumia wale waliokuwa kifungoni, mkikubali kwa furaha kunyangʼanywa mali zenu kwa maana mlijua kwamba mnayo mali iliyo bora zaidi idumuyo.
3 John 1:5Rafiki mpendwa, wewe ni mwaminifu kwa yale unayowatendea ndugu, ingawa wao ni wageni kwako.