Proverbs 1:17
Tazama ni jinsi gani ilivyo kazi bure kutandaza wavu 2 wakati ndege wote wanakuona! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Surely in vain the net is spread in the sight of any bird.
In Context
16kwa kuwa miguu yao hukimbilia kwenye dhambi, 2 ni wepesi kumwaga damu. 1
18Watu hawa huvizia kumwaga damu yao wenyewe; 2 hujivizia tu wenyewe! 1
Cross References
Job 35:11yeye atufundishaye sisi zaidi kuliko wanyama wa dunia, 2 na kutufanya wenye hekima kuliko ndege wa angani?’ 1
Isaiah 1:3Ngʼombe anamjua bwana wake, 2 naye punda anajua hori la mmiliki wake, 1 lakini Israeli hajui, 2 watu wangu hawaelewi.” 1