Proverbs 14:18
Mjinga hurithi upumbavu, 2 bali wenye busara huvikwa maarifa kichwani kama taji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The simple inherit folly: but the prudent are crowned with knowledge.
In Context
17Mtu anayekasirika kwa haraka hufanya mambo ya upumbavu, 2 naye mtu wa hila huchukiwa. 1
19Watu wabaya watasujudu mbele ya watu wema, 2 nao waovu kwenye malango ya wenye haki. 1
Cross References
Proverbs 4:7Hekima ni bora kuliko vitu vyote; kwa hiyo jipe hekima. 2 Hata ikikugharimu vyote ulivyo navyo, pata ufahamu. 1
Proverbs 11:29Yeye aletaye taabu kwa jamaa yake atarithi tu upepo, 2 naye mpumbavu atakuwa mtumishi wa wenye hekima. 1
Jeremiah 44:17Hakika tutafanya kila kitu tulichosema tutakifanya: Tutafukiza uvumba kwa Malkia wa Mbinguni na tutammiminia sadaka zetu za kinywaji kama vile sisi na baba zetu, wafalme wetu na maafisa wetu tulivyofanya katika miji ya Yuda na katika barabara za Yerusalemu. Wakati ule tulikuwa na chakula tele, tulikuwa matajiri wala hatukupata dhara lolote.
Matthew 23:29“Ole wenu, walimu wa sheria na Mafarisayo, ninyi wanafiki! Mnajenga makaburi ya manabii na kuyapamba makaburi ya wenye haki.
1 Peter 1:18Kwa maana mnafahamu kwamba mlikombolewa kutoka mwenendo wenu usiofaa ambao mliurithi kutoka kwa baba zenu, si kwa vitu viharibikavyo kama fedha na dhahabu,