Proverbs 15:21
Upumbavu humfurahisha mtu ambaye hana akili, 2 bali mtu mwenye ufahamu hushika njia iliyonyooka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Folly is joy to him that is destitute of wisdom: but a man of understanding walketh uprightly.
In Context
20Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa baba yake, 2 bali mtu mpumbavu humdharau mama yake. 1
Cross References
Psalms 111:10Kumcha Bwana ndicho chanzo cha hekima, 2 wote wanaozifuata amri zake wana busara. 2 Sifa zake zadumu milele.
Proverbs 4:26Sawazisha mapito ya miguu yako 2 na njia zako zote ziwe zimethibitika. 1
Proverbs 11:12Mtu asiye na akili humdharau jirani yake, 2 bali mtu mwenye ufahamu huuzuia ulimi wake. 1
Proverbs 14:16Mtu mwenye hekima humcha Bwana na kuepuka mabaya, 2 bali mpumbavu hukasirika kwa hamaki na uzembe. 1
Ephesians 5:15Kwa hiyo angalieni sana jinsi mnavyoenenda, si kama watu wasio na hekima, bali kama wenye hekima,