Proverbs 16:33
Kura hupigwa kwa siri, 2 lakini kila uamuzi wake hutoka kwa Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The lot is cast into the lap; but the whole disposing thereof is of the LORD.
In Context
Cross References
Numbers 26:55Hakikisha kuwa nchi inagawanywa kwa kura. Kile kitakachorithiwa na kila kikundi kitakuwa kwa kulingana na majina ya kabila la babu yao.
Joshua 18:5Mtaigawanya hiyo nchi katika sehemu saba. Yuda atabaki katika eneo lake upande wa kusini na nyumba ya Yosefu katika nchi yake upande wa kaskazini.
Judges 20:9Sasa hili ndilo tutakaloitendea Gibea: Tutaikabili jinsi kura itakavyotuongoza.
1 Samuel 14:42Sauli akasema, “Pigeni kura kati yangu na mwanangu Yonathani.” Kura ikamwangukia Yonathani.
Proverbs 18:18Kupiga kura hukomesha mashindano 2 na kutenganisha wapinzani wakuu wanaopingana. 1
Jonah 1:7Kisha mabaharia wakasemezana wao kwa wao, “Njooni, tupige kura tumtafute anayehusika na maafa haya.” Wakapiga kura, kura ikamwangukia Yona.