Proverbs 17:25
Mwana mpumbavu huleta huzuni kwa baba yake 2 na uchungu kwa yeye aliyemzaa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A foolish son is a grief to his father, and bitterness to her that bare him.
In Context
26Si vizuri kumwadhibu mtu asiye na hatia, 2 au kuwapiga sana maafisa kwa ajili ya uadilifu wao. 1
Cross References
2 Samuel 19:1Yoabu akaambiwa, “Mfalme analia na kumwombolezea Absalomu.”
Proverbs 15:20Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa baba yake, 2 bali mtu mpumbavu humdharau mama yake. 1
Proverbs 23:25Baba yako na mama yako na wafurahi, 2 mama aliyekuzaa na ashangilie! 1