Proverbs 19:22
Lile mtu alionealo shauku ni upendo usio na mwisho, 2 afadhali kuwa maskini kuliko kuwa mwongo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The desire of a man is his kindness: and a poor man is better than a liar.
In Context
21Kuna mipango mingi ndani ya moyo wa mtu, 2 lakini kusudi la Bwana ndilo litakalosimama. 1
Cross References
1 Chronicles 29:17Ninajua, Mungu wangu, kwamba wewe huujaribu moyo na unapendezwa na unyofu. Vitu hivi vyote nimetoa kwa hiari na kwa moyo mnyofu. Nami sasa nimeona kwa furaha jinsi watu wako walioko hapa kwa hiari yao walivyokutolea wewe.
Job 6:15Lakini ndugu zangu sio wa kutegemewa, 2 ni kama vijito vya msimu, 2 ni kama vijito ambavyo hufurika 1
Psalms 62:9Binadamu wa ngazi ya chini ni pumzi tu, 2 nao wa ngazi ya juu ni uongo tu; 1 wakipimwa kwenye mizani, si chochote; 2 wote kwa pamoja ni pumzi tu. 1
Mark 12:41Kisha Yesu akaketi mkabala na sehemu ambapo sadaka zilikuwa zinawekwa na kuangalia umati wa watu wakiweka fedha zao kwenye sanduku la hazina ya Hekalu. Matajiri wengi wakaweka kiasi kikubwa cha fedha.
2 Corinthians 8:2Pamoja na majaribu makali na taabu walizopata, furaha waliyokuwa nayo ilikuwa kubwa, ingawa walikuwa maskini kupindukia, kwa upande wao walifurika kwa wingi wa ukarimu.
Titus 1:2imani na ujuzi ulioko katika tumaini la uzima wa milele, ambao Mungu, asiyesema uongo, aliahidi hata kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu,