Proverbs 22:21
kukufundisha maneno ya kweli na ya kuaminika, 2 ili uweze kutoa majibu sahihi 2 kwake yeye aliyekutuma? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Je, sijakuandikia misemo thelathini, 2 misemo ya mashauri na maarifa, 1
22Usiwadhulumu maskini kwa sababu ni maskini, 2 wala kumdhulumu mhitaji mahakamani, 1
Cross References
Proverbs 1:1Mithali za Solomoni mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli: 1
Luke 1:3mimi nami baada ya kuchunguza kila kitu kwa uangalifu kuanzia mwanzo, niliamua kukuandikia habari za mambo hayo, ewe mtukufu Theofilo,
1 Peter 3:15Bali mtakaseni Kristo kuwa Bwana mioyoni mwenu. Siku zote mwe tayari kumjibu mtu yeyote atakayewauliza kuhusu sababu ya tumaini lililomo ndani yenu. Lakini fanyeni hivyo kwa upole na kwa heshima,