The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 22 › Proverbs 22:29

Proverbs 22:29

Je, unamwona mtu stadi katika kazi yake? 2 Atahudumu mbele ya wafalme; 2 hatahudumu mbele ya watu duni.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Seest thou a man diligent in his business? he shall stand before kings; he shall not stand before mean men.

In Context

28Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani 2 lililowekwa na baba zako. 1

Read all of Proverbs 22

Cross References

Genesis 41:46Yosefu alikuwa na miaka thelathini alipoingia katika utumishi wa Farao mfalme wa Misri. Naye Yosefu akatoka mbele ya Farao akasafiri katika nchi yote ya Misri.

1 Samuel 17:31Lile Daudi alilosema likasikiwa na kuelezwa kwa Sauli, naye Sauli akatuma aitwe.

1 Kings 10:8Heri watu wako! Heri hawa maafisa wako wasimamao mbele yako daima na kusikia hekima yako!

1 Chronicles 4:23Hawa walikuwa wafinyanzi walioishi Netaimu na Gedera; waliishi huko wakimtumikia mfalme. 1 Simeoni 1

Proverbs 12:24Mikono yenye bidii itatawala, 2 bali uvivu huishia katika kazi za utumwa. 1

Daniel 1:4vijana wanaume wasio na dosari mwilini, wenye sura nzuri, wanaoonyesha kipaji katika kila aina ya elimu, wenye ufahamu mzuri, wepesi kuelewa, na waliofuzu kuhudumu katika jumba la kifalme. Alikuwa awafundishe lugha na maandiko ya Wakaldayo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 22:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 22:28Proverbs 22