Proverbs 23:1
Uketipo kula chakula na mtawala, 2 angalia vyema kile kilicho mbele yako, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When thou sittest to eat with a ruler, consider diligently what is before thee:
In Context
2na utie kisu kooni mwako 2 kama ukiwa mlafi. 1
Cross References
Genesis 43:32Wakampakulia Yosefu peke yake, ndugu zake peke yao na Wamisri waliokula pamoja naye peke yao, kwa sababu Wamisri wasingeweza kula pamoja na Waebrania, kwa maana ilikuwa ni chukizo kwa Wamisri.