Proverbs 23:14
Mwadhibu kwa fimbo 2 na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini. + 23:14 Mautini maana yake ni Kuzimu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou shalt beat him with the rod, and shalt deliver his soul from hell.
In Context
13Usimnyime mtoto adhabu, 2 ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa. 1
15Mwanangu, kama moyo wako una hekima, 2 basi moyo wangu utafurahi, 1
Cross References
1 Corinthians 5:5mkabidhini mtu huyu kwa Shetani, ili mwili wake uharibiwe, ili roho yake iokolewe katika siku ya Bwana.