Proverbs 27:5
Afadhali karipio la wazi 2 kuliko upendo uliofichika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Open rebuke is better than secret love.
In Context
4Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, 2 lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? 1
6Majeraha kutoka kwa rafiki yaonyesha uaminifu, 2 bali kubusu kwa adui ni kwingi sana. 1
Cross References
Leviticus 19:17“ ‘Usimchukie ndugu yako moyoni mwako. Karipia jirani yako kwa uwazi ili usishiriki hatia yake.
Matthew 18:15“Kama ndugu yako akikukosea, nenda ukamwonyeshe kosa lake, kati yenu ninyi wawili peke yenu. Kama akikusikiliza, utakuwa umempata tena ndugu yako.
1 Timothy 5:20Wale wanaodumu katika dhambi uwakemee hadharani, ili wengine wapate kuogopa.