The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 3 › Proverbs 3:10

Proverbs 3:10

ndipo ghala zako zitakapojaa hadi kufurika, 2 viriba vyako vitafurika kwa mvinyo mpya. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

So shall thy barns be filled with plenty, and thy presses shall burst out with new wine.

In Context

9Mheshimu Bwana kwa mali zako na 2 kwa malimbuko ya mazao yako yote; 1

11Mwanangu, usiidharau adhabu ya Bwana 2 na usichukie kukaripiwa naye, 1

Read all of Proverbs 3

Cross References

Deuteronomy 14:29ili Walawi (ambao hawana mashamba wala urithi wao wenyewe) na wageni, yatima na wajane wanaoishi kwenye miji yenu wapate kuja kula na kushiba, ili Bwana Mungu wenu apate kuwabariki ninyi katika kazi zote za mikono yenu.

2 Chronicles 31:10naye Azaria aliyekuwa kuhani mkuu, kutoka jamaa ya Sadoki, akajibu, “Tangu watu walipoanza kuleta sadaka zao katika Hekalu la Bwana tumekuwa na chakula cha kutosha na vingi vya kuweka akiba kwa sababu Bwana amewabariki watu wake, hivyo tumekuwa na kiasi kingi kilichobaki.” 1 Kutambuliwa Kwa Makuhani Na Walawi

Proverbs 19:17Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Bwana, 2 naye atamtuza kwa aliyotenda. 1

Ecclesiastes 11:1Tupa mkate wako juu ya maji, 2 kwa maana baada ya siku nyingi 2 utaupata tena. 1

Haggai 2:19Je, bado kuna mbegu iliyobakia ghalani? Mpaka sasa, hakuna mzabibu au mtini, mkomamanga wala mzeituni uliozaa tunda. “ ‘Kuanzia leo na kuendelea, nitawabariki.’ ” 1 Zerubabeli Pete Ya Muhuri Ya Bwana

Matthew 10:42Kama yeyote akimpa hata kikombe cha maji baridi mmoja wa hawa wadogo kwa kuwa ni mwanafunzi wangu, amin, nawaambia, hataikosa thawabu yake.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 3:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 3:9Proverbs 3Proverbs 3:11 →