Proverbs 3:22
ndipo vitakapokuwa uzima nafsini mwako 2 na pambo la neema shingoni mwako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So shall they be life unto thy soul, and grace to thy neck.
In Context
21Mwanangu, hifadhi maamuzi mema na busara, 2 usiache vitoke machoni pako; 1
23Kisha utaenda katika njia yako salama, 2 wala mguu wako hautajikwaa; 1
Cross References
Proverbs 1:9Hayo yatakuwa taji la maua la neema kichwani pako, 2 na mkufu wa kuipamba shingo yako. 1
Proverbs 19:8Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe, 2 yeye ahifadhiye ufahamu hustawi. 1
John 12:49Kwa maana sisemi kwa ajili yangu mwenyewe, bali Baba aliyenituma aliniamuru ni nini cha kusema na jinsi ya kukisema.