Proverbs 30:1
Misemo ya Aguri mwana wa Yake, usia: 1 Huyu mtu alimwambia Ithieli, 2 naam, kwa Ithieli na kwa Ukali: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2“Mimi ni mjinga kuliko wanadamu wote; 2 sina ufahamu wa kibinadamu. 1
Cross References
Proverbs 31:1Misemo ya Mfalme Lemueli, usia wa mama yake aliyomfundisha: 1