Proverbs 31:19
Huweka mikono yake kwenye pia, 2 navyo vidole vyake hushikilia kijiti chenye uzi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
She layeth her hands to the spindle, and her hands hold the distaff.
In Context
18Huona kwamba biashara yake ina faida, 2 wala taa yake haizimiki usiku. 1
20Huwanyooshea maskini mikono yake 2 na kuwakunjulia wahitaji vitanga vyake. 1
Cross References
Exodus 35:26Wanawake wote waliopenda na waliokuwa na ujuzi wakasokota singa za mbuzi.