Proverbs 31:26
Huzungumza kwa hekima 2 na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
She openeth her mouth with wisdom; and in her tongue is the law of kindness.
In Context
25Amevikwa nguvu na heshima, 2 anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo. 1
27Huangalia mambo ya nyumbani mwake 2 wala hali chakula cha uvivu. 1
Cross References
Judges 13:23Lakini mkewe akamwambia, “Ikiwa Bwana alikuwa amekusudia kutuua, asingelipokea sadaka ya kuteketezwa na sadaka ya unga kutoka mikononi mwetu, wala asingelituonyesha mambo haya yote wala kututangazia mambo kama haya wakati huu.”
2 Samuel 20:16mwanamke mmoja mwenye busara akaita kutoka ndani ya mji, akisema, “Sikilizeni! Sikilizeni! Mwambieni Yoabu aje hapa ili niweze kuzungumza naye.”
Esther 4:4Wajakazi wa Esta na matowashi walipokuja na kumwambia kuhusu Mordekai, alipatwa na huzuni kuu. Alimtumia nguo avae badala ya nguo za magunia, lakini Mordekai hakuzikubali.
Esther 7:3Kisha Malkia Esta akajibu, “Kama nimepata kibali kwako, ee mfalme, tena kama inapendeza utukufu wako, nijalie maisha yangu, hii ndiyo haja yangu. Pia uokoe watu wangu, hili ndilo ombi langu.
Proverbs 10:31Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima, 2 bali ulimi wa upotovu utakatwa. 1
Proverbs 16:24Maneno ya kupendeza ni kama sega la asali, 2 ni matamu kwa nafsi na uponyaji kwenye mifupa. 1