Proverbs 6:30
Watu hawamdharau mwizi kama akiiba 2 kukidhi njaa yake wakati ana njaa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Men do not despise a thief, if he steal to satisfy his soul when he is hungry;
In Context
Cross References
Leviticus 6:5au chochote alichokuwa amekiapia kwa uongo. Lazima akirudishe kikamilifu, na aongeze sehemu ya tano ya thamani yake, vyote ampe mwenye mali siku ile anapeleka sadaka yake ya hatia.