Proverbs 7:25
Usiruhusu moyo wako ugeukie njia za huyo mwanamke, 2 wala usitangetange katika mapito yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let not thine heart decline to her ways, go not astray in her paths.
In Context
24Sasa basi wanangu, nisikilizeni; 2 sikilizeni kwa makini nisemalo. 1
26Aliowaangusha ni wengi; 2 aliowachinja ni kundi kubwa. 1
Cross References
Psalms 119:176Nimetangatanga kama kondoo aliyepotea. 2 Mtafute mtumishi wako, 2 kwa kuwa sijasahau amri zako.
Proverbs 5:8Njia zenu ziwe mbali naye, 2 msiende karibu na mlango wa nyumba yake, 1
Proverbs 6:25Moyo wako usitamani uzuri wake 2 wala macho yake yasikuteke, 1
Proverbs 23:31Usiukodolee macho mvinyo wakati ukiwa mwekundu, 2 wakati unapometameta kwenye bilauri, 2 wakati ushukapo taratibu! 1
Matthew 5:28Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.