Proverbs 7:27
Nyumba yake ni njia kuu iendayo kaburini, + 7:27 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 2 ielekeayo chini kwenye vyumba vya mauti.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Her house is the way to hell, going down to the chambers of death.
In Context
26Aliowaangusha ni wengi; 2 aliowachinja ni kundi kubwa. 1
Cross References
Proverbs 5:5Miguu yake hushuka kuelekea kwenye kifo; 2 hatua zake huelekea moja kwa moja kaburini. + 5:5 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 1
Ecclesiastes 7:26Nimeona jambo lililo chungu kuliko mauti, 2 mwanamke ambaye ni mtego, 1 ambaye moyo wake ni wavu wa kutegea 2 na mikono yake ni minyororo. 1 Mtu ampendezaye Mungu atamkwepa, 2 bali mwenye dhambi atanaswa naye.