Proverbs 8:1
Je, hekima haitani? 2 Je, ufahamu hapazi sauti? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Doth not wisdom cry? and understanding put forth her voice?
In Context
2Juu ya miinuko karibu na njia, 2 penye njia panda, ndipo asimamapo; 1
Cross References
Proverbs 1:20Hekima huita kwa sauti kuu barabarani, 2 hupaza sauti yake kwenye viwanja vikubwa; 1
Proverbs 3:1Mwanangu, usisahau mafundisho yangu, 2 bali zitunze amri zangu moyoni mwako, 1
Isaiah 49:1Nisikilizeni, enyi visiwa, sikieni hili, 2 ninyi mataifa mlio mbali: 1 Kabla sijazaliwa, Bwana aliniita, 2 tangu kuzaliwa kwangu, amelitaja jina langu. 1
Matthew 3:3Huyu ndiye yule aliyenenwa habari zake na nabii Isaya aliposema: 1 “Sauti ya mtu aliaye huko nyikani, 1 ‘Tayarisheni njia kwa ajili ya Bwana, 2 yanyoosheni mapito yake.’ ”
Matthew 28:19Kwa sababu hii, enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu,
Mark 16:15Akawaambia, “Enendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.