Proverbs 8:3
kando ya malango yaelekeayo mjini, 2 kwenye maingilio, hulia kwa sauti kubwa, akisema: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
She crieth at the gates, at the entry of the city, at the coming in at the doors.
In Context
2Juu ya miinuko karibu na njia, 2 penye njia panda, ndipo asimamapo; 1
4“Ni ninyi wanaume, ninaowaita; 2 ninapaza sauti yangu kwa wanadamu wote. 1
Cross References
Job 29:7“Wakati nilipokwenda kwenye lango la mji 2 na kuketi katika kiwanja, 1
Matthew 22:9Kwa hiyo nendeni katika njia panda mkamwalike karamuni yeyote mtakayemwona.’
John 18:20Yesu akamjibu, “Nimekuwa nikizungumza waziwazi mbele ya watu wote. Siku zote nimefundisha katika masinagogi na Hekaluni, mahali ambapo Wayahudi wote hukusanyika. Sikusema jambo lolote kwa siri.