The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 9 › Proverbs 9:1

Proverbs 9:1

Hekima amejenga nyumba yake; 2 amechonga nguzo zake saba. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Wisdom hath builded her house, she hath hewn out her seven pillars:

In Context

2Ameandaa nyama na kuchanganya divai yake; 2 pia ameandaa meza yake. 1

Read all of Proverbs 9

Cross References

1 Kings 7:6Akajenga ukumbi wa nguzo, ambao urefu wake ulikuwa dhiraa hamsini + 7:6 Dhiraa 50 ni sawa na mita 22.5. na upana wake dhiraa thelathini. Mbele ya jengo hilo kulikuwepo baraza. Mbele ya baraza kulikuwepo na nguzo na paa lililoningʼinia.

Proverbs 1:20Hekima huita kwa sauti kuu barabarani, 2 hupaza sauti yake kwenye viwanja vikubwa; 1

Proverbs 3:1Mwanangu, usisahau mafundisho yangu, 2 bali zitunze amri zangu moyoni mwako, 1

Isaiah 55:1“Njooni, ninyi nyote wenye kiu, 2 njooni kwenye maji; 1 nanyi ambao hamna fedha, 2 njooni, nunueni na mle! 1 Njooni, nunueni divai na maziwa 2 bila fedha na bila gharama. 1

1 Corinthians 3:9Kwa kuwa sisi tu watendakazi pamoja na Mungu. Ninyi ni shamba la Mungu, jengo la Mungu.

Ephesians 2:20Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ndiye jiwe kuu la pembeni.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 9:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Proverbs 9Proverbs 9:2 →