Zaburi 105:39
Alitandaza wingu kama kifuniko, 2 na moto kuwamulikia usiku. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He spread a cloud for a covering; and fire to give light in the night.
In Context
38Misri ilifurahi walipoondoka, 2 kwa sababu hofu ya Israeli ilikuwa imewaangukia. 1
40Waliomba, naye akawaletea kware, 2 akawashibisha kwa mkate wa mbinguni. 1
Cross References
Exodus 14:24Karibia mapambazuko, Bwana akaliangalia jeshi la Wamisri kutoka ile nguzo ya moto na ya wingu, akalifadhaisha.
Numbers 9:16Hivyo ndivyo lilivyoendelea kuwa; wingu liliifunika wakati wa mchana, na usiku lilionekana kama moto.
Nehemiah 9:12Mchana uliwaongoza kwa nguzo ya wingu, na usiku kwa nguzo ya moto kuwamulikia njia iliyowapasa kuiendea.
Psalms 78:14Aliwaongoza kwa wingu mchana 2 na kwa nuru kutoka kwenye moto usiku kucha. 1
1 Corinthians 10:1Ndugu zangu, sitaki mkose kufahamu ukweli huu kwamba baba zetu walikuwa wote chini ya wingu na kwamba wote walipita katikati ya bahari.