Psalms 109:21
Lakini wewe, Ee Bwana Mwenyezi, 2 unitendee wema kwa ajili ya jina lako, 2 uniokoe kwa wema wa pendo lako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But do thou for me, O GOD the Lord, for thy name’s sake: because thy mercy is good, deliver thou me.
In Context
20Haya na yawe malipo ya Bwana kwa washtaki wangu, 2 kwa wale wanaoninenea mabaya. 1
22Maana mimi ni maskini na mhitaji, 2 moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu. 1
Cross References
Psalms 25:11Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako, 2 unisamehe uovu wangu, ijapokuwa ni mwingi. 1
Psalms 36:7Upendo wako usiokoma 2 ni wa thamani mno! 1 Watu wakuu na wadogo 2 hujificha uvulini wa mbawa zako. 1
Psalms 69:16Ee Bwana, unijibu, kwa wema wa upendo wako; 2 kwa huruma zako nyingi unigeukie. 1
Psalms 79:9Ee Mungu Mwokozi wetu, utusaidie, 2 kwa ajili ya utukufu wa jina lako; 1 tuokoe na kutusamehe dhambi zetu 2 kwa ajili ya jina lako. 1
Psalms 86:15Lakini wewe, Ee Bwana, ni Mungu wa huruma na neema, 2 si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo na uaminifu. 1
John 17:1Baada ya Yesu kusema haya, alitazama kuelekea mbinguni akawaombea na kusema: “Baba, saa imewadia. Umtukuze Mwanao, ili Mwanao apate kukutukuza wewe.