Zaburi 116:19
katika nyua za nyumba ya Bwana, 2 katikati yako, ee Yerusalemu. 2 Msifuni Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In the courts of the LORD’S house, in the midst of thee, O Jerusalem. Praise ye the LORD.
In Context
18Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana 2 mbele za watu wake wote, 1
Cross References
2 Chronicles 6:6Lakini sasa nimeuchagua Yerusalemu ili Jina langu lipate kuwamo humo, na nimemchagua Daudi kuwatawala watu wangu Israeli.’
Psalms 100:4Ingieni malangoni mwake kwa shukrani 2 na katika nyua zake kwa kusifu, 2 mshukuruni yeye na kulisifu jina lake. 1
Psalms 122:3Yerusalemu imejengwa vyema kama mji 2 ambao umeshikamanishwa pamoja. 1
Psalms 150:1Msifuni Bwana. 1 Msifuni Mungu katika patakatifu pake, 2 msifuni katika mbingu zake kuu. 1