Zaburi 116:5
Bwana ni mwenye neema na haki, 2 Mungu wetu ni mwingi wa huruma. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Gracious is the LORD, and righteous; yea, our God is merciful.
In Context
4Ndipo nikaliitia jina la Bwana: 2 “Ee Bwana, niokoe!” 1
6Bwana huwalinda wanyenyekevu, 2 nilipokuwa katika shida kubwa, aliniokoa. 1
Cross References
Exodus 34:6Bwana akapita mbele ya Mose, akitangaza, “ Bwana, Bwana, Mungu mwenye huruma na neema, asiye mwepesi wa hasira, mwingi wa upendo na uaminifu,
Nehemiah 9:8Uliona kuwa moyo wake ni mwaminifu kwako, nawe ukafanya Agano naye kuwapa wazao wake nchi ya Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wayebusi na Wagirgashi. Umetimiza ahadi yako kwa sababu wewe ni mwenye haki.
Nehemiah 9:31Lakini kwa rehema zako kuu hukuwakomesha wala kuwaacha, kwa kuwa wewe ni Mungu mwenye neema na rehema.
Psalms 86:5Ee Bwana, wewe ni mwema na mwenye kusamehe, 2 umejaa upendo kwa wote wakuitao. 1
Psalms 103:8Bwana ni mwingi wa huruma na mwenye neema; 2 si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo. 1
Psalms 115:1Sio kwetu sisi, Ee Bwana, sio kwetu sisi, 2 bali utukufu ni kwa jina lako, 1 kwa sababu ya upendo 2 na uaminifu wako. 1