Zaburi 119:13
Kwa midomo yangu nitasimulia sheria zote 2 zinazotoka katika kinywa chako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
With my lips have I declared all the judgments of thy mouth.
In Context
12Sifa ni zako, Ee Bwana, 2 nifundishe maagizo yako. 1
14Ninafurahia kufuata sheria zako 2 kama mtu afurahiaye mali nyingi. 1
Cross References
Deuteronomy 6:6Amri hizi ninazokupa leo zitakuwa katika moyo wako.
Psalms 18:22Sheria zake zote zi mbele yangu, 2 wala sijayaacha maagizo yake. 1
Psalms 37:30Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima, 2 nao ulimi wake huzungumza lililo haki. 1
Psalms 71:15Kinywa changu kitasimulia haki yako, 2 wokovu wako mchana kutwa, 2 ingawa sifahamu kipimo chake. 1
Psalms 119:46Nitasema sheria zako mbele za wafalme 2 wala sitaaibishwa, 1
Proverbs 5:2ili uweze kutunza busara 2 na midomo yako ihifadhi maarifa. 1