Zaburi 136:4
Kwake yeye pekee atendaye maajabu makuu, Fadhili zake zadumu milele. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To him who alone doeth great wonders: for his mercy endureth for ever.
In Context
3Mshukuruni Bwana wa mabwana: Fadhili zake zadumu milele. 1
5Ambaye kwa ufahamu wake aliziumba mbingu, Fadhili zake zadumu milele. 1
Cross References
Job 5:9Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa, 2 miujiza isiyoweza kuhesabika. 1
Psalms 86:10Kwa maana wewe ni mkuu, na unafanya mambo ya ajabu; 2 wewe peke yako ndiwe Mungu. 1