Zaburi 147:2
Bwana hujenga Yerusalemu, 2 huwakusanya Israeli walio uhamishoni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The LORD doth build up Jerusalem: he gathereth together the outcasts of Israel.
In Context
3Anawaponya waliovunjika mioyo 2 na kuvifunga vidonda vyao. 1
Cross References
Ezra 2:64Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360;
Nehemiah 3:1Eliashibu kuhani mkuu na makuhani wenzake walikwenda kufanya kazi na kulijenga upya Lango la Kondoo. Waliliweka wakfu na kuweka milango mahali pake, wakajenga hadi kufikia Mnara wa Mia, ambao waliuweka wakfu hadi Mnara wa Hananeli.
Nehemiah 6:16Adui zetu wote waliposikia kuhusu hili, mataifa yote yaliyotuzunguka yakaogopa na kupoteza ujasiri, kwa sababu yalitambua kuwa kazi hii imefanyika kwa msaada wa Mungu wetu.
Psalms 51:18Kwa wema wa radhi yako uifanye Sayuni istawi, 2 ukazijenge upya kuta za Yerusalemu. 1
Psalms 102:17Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, 2 wala hatadharau hoja yao. 1
Isaiah 11:11Katika siku hiyo Bwana atanyoosha mkono wake mara ya pili kurudisha mabaki ya watu wake waliosalia kutoka Ashuru, Misri, Pathrosi, + 11:11 Pathrosi ina maana Misri ya Juu. Kushi, Elamu, Babeli, Hamathi na kutoka visiwa vya baharini. 1