Zaburi 25:13
Mtu huyo atafanikiwa maishani mwake, 2 nao wazao wake watairithi nchi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
His soul shall dwell at ease; and his seed shall inherit the earth.
In Context
14Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao, 2 yeye huwajulisha agano lake. 1
Cross References
Genesis 17:7Nitalithibitisha Agano langu kama Agano la milele kati yangu na wewe na wazao wako baada yako na vizazi vijavyo niwe Mungu wako na Mungu wa wazao wako.
Deuteronomy 33:26“Hakuna mwingine kama Mungu wa Yeshuruni, 2 ambaye hupanda juu ya mbingu ili akusaidie, 2 na juu ya mawingu katika utukufu wake. 1
Psalms 36:8Wanajifurahisha katika wingi nyumbani mwako, 2 nawe utawanywesha katika mto wa furaha zako. 1
Psalms 37:11Bali wanyenyekevu watairithi nchi 2 na wafurahie amani tele. 1
Psalms 37:26Wakati wote ni wakarimu na hukopesha bila masharti. 2 Watoto wao watabarikiwa. 1
Psalms 37:34Mngojee Bwana, 2 na uishike njia yake. 1 Naye atakutukuza uirithi nchi, 2 waovu watakapokatiliwa mbali, 2 utaliona hilo. 1