Zaburi 31:13
Kwa maana nimesikia maneno niliyosingiziwa na wengi; 2 vitisho viko pande zote; 1 kwa kuwa wamefanya mashauri dhidi yangu, 2 na kula njama kuniua. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Lakini mimi ninakutumaini wewe peke yako, Ee Bwana; 2 nimesema, “Wewe ndiwe Mungu wangu.” 1
Cross References
Genesis 40:23Pamoja na hayo, mnyweshaji mkuu hakumkumbuka Yosefu, bali alimsahau.
1 Samuel 20:33Lakini Sauli akamtupia Yonathani mkuki wake kwa nguvu ili amuue. Hapo ndipo Yonathani alipotambua kwamba baba yake alikusudia kumuua Daudi.
1 Samuel 23:19Basi Wazifu wakakwea kwa Sauli huko Gibea na kusema, “Je, Daudi hajifichi miongoni mwetu katika ngome huko Horeshi, katika kilima cha Hakila, kusini mwa Yeshimoni?
2 Samuel 17:1Ahithofeli akamwambia Absalomu, “Nipe ruhusa niwachague watu kumi na mbili elfu na waanze safari usiku huu huu kumfuatia Daudi.
Psalms 56:1Ee Mungu unihurumie, maana watu wananifuatia vikali; 2 mchana kutwa wanazidisha mashambulizi yao. 1
Psalms 101:5Kila amsingiziaye jirani yake kwa siri, 2 huyo nitamnyamazisha; 1 mwenye macho ya dharau na moyo wa kiburi 2 huyo sitamvumilia. 1