The Bible Software
bible.softwarePsalmsPsalms 31 › Psalms 31:21

Psalms 31:21

Atukuzwe Bwana, 2 kwa kuwa amenionyesha upendo wake wa ajabu 2 nilipokuwa katika mji uliozingirwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Blessed be the LORD: for he hath shewed me his marvellous kindness in a strong city.

In Context

20Unawahifadhi katika uvuli wa uwepo wako 2 kutokana na hila za wanadamu; 1 katika makao yako huwaweka salama 2 kutokana na ndimi za mashtaka. 1

22Katika hofu yangu nilisema, 2 “Nimekatiliwa mbali na macho yako!” 1 Hata hivyo ulisikia kilio changu 2 ukanihurumia nilipokuita unisaidie. 1

Read all of Psalms 31

Cross References

1 Samuel 23:7Sauli akaambiwa kwamba Daudi alikuwa amekwenda Keila, naye akasema, “Mungu amemtia mkononi mwangu, kwa kuwa Daudi amejifunga mwenyewe kwa kuingia kwenye mji wenye malango na makomeo.”

Psalms 17:7Uonyeshe ajabu ya upendo wako mkuu, 2 wewe uokoaye kwa mkono wako wa kuume 2 wale wanaokukimbilia kutokana na adui zao. 1

Psalms 98:1Mwimbieni Bwana wimbo mpya, 2 kwa maana ametenda mambo ya ajabu; 1 kitanga chake cha kuume na mkono wake mtakatifu 2 umemfanyia wokovu. 1

Jeremiah 1:18Leo nimekufanya mji wenye ngome, nguzo ya chuma, na ukuta wa shaba ili kusimama dhidi ya nchi yote: dhidi ya wafalme wa Yuda, maafisa wake, makuhani wake na watu wa nchi hiyo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Psalms 31:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Psalms 31:20Psalms 31Psalms 31:22 →