Zaburi 34:21
Ubaya utamuua mtu mwovu, 2 nao adui za mwenye haki watahukumiwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Evil shall slay the wicked: and they that hate the righteous shall be desolate.
In Context
20huhifadhi mifupa yake yote, 2 hata mmoja hautavunjika. 1
22Bwana huwakomboa watumishi wake, 2 yeyote anayemkimbilia yeye 2 hatahukumiwa kamwe.
Cross References
Exodus 12:46“Sharti iliwe ndani ya nyumba; msichukue nyama yoyote nje ya nyumba hiyo. Msiuvunje mfupa wowote.
1 Samuel 19:4Yonathani akanena mema juu ya Daudi kwa Sauli baba yake na kumwambia, “Mfalme asitende mabaya kwa mtumishi wake Daudi; hajakukosea, aliyoyafanya yamekuwa ya faida sana kwako.
1 Kings 22:8Mfalme wa Israeli akamjibu Yehoshafati, “Bado yupo mtu mmoja ambaye kupitia yeye twaweza kumuuliza shauri la Bwana, lakini namchukia kwa sababu huwa hatabiri jambo lolote jema kunihusu mimi, lakini kila mara hunitabiria mabaya tu. Yeye ni Mikaya mwana wa Imla.” Yehoshafati akajibu, “Mfalme hapaswi kusema hivyo.”
Psalms 20:8Wao wameshushwa chini na kuanguka, 2 bali sisi tunainuka na kusimama imara. 1
Psalms 37:30Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima, 2 nao ulimi wake huzungumza lililo haki. 1
Psalms 89:23Nitawaponda adui zake mbele zake 2 na kuwaangamiza watesi wake. 1