Zaburi 38:13
Mimi ni kama mtu kiziwi, asiyeweza kusikia, 2 ni kama bubu, asiyeweza kufungua kinywa chake, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But I, as a deaf man, heard not; and I was as a dumb man that openeth not his mouth.
In Context
14nimekuwa kama mtu asiyesikia, 2 ambaye kinywa chake hakiwezi kutoa jibu. 1
Cross References
Psalms 39:2Lakini niliponyamaza kimya na kutulia, 2 hata pasipo kusema lolote jema, 2 uchungu wangu uliongezeka. 1
Psalms 119:110Waovu wamenitegea mtego, 2 lakini sijayakiuka maagizo yako. 1
1 Peter 2:23Yeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa, hakutishia, bali alijikabidhi kwa yeye ahukumuye kwa haki.