Psalms 38:21
Ee Bwana, usiniache, 2 usiwe mbali nami, Ee Mungu wangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Forsake me not, O LORD: O my God, be not far from me.
In Context
20Wanaolipa maovu kwa wema wangu 2 hunisingizia ninapofuata lililo jema. 1
22Ee Bwana Mwokozi wangu, 2 uje upesi kunisaidia.
Cross References
Psalms 22:1Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? 2 Kwa nini uko mbali hivyo kuniokoa? 2 Mbali hivyo na maneno ya kuugua kwangu? 1
Psalms 22:19Lakini wewe, Ee Bwana, 2 usiwe mbali. 1 Ee Nguvu yangu, 2 uje haraka unisaidie. 1
Psalms 35:12Wananilipa baya kwa jema 2 na kuiacha nafsi yangu ukiwa. 1