Zaburi 39:1
Nilisema, “Nitaziangalia njia zangu 2 na kuuzuia ulimi wangu usije ukatenda dhambi; 1 nitaweka lijamu kinywani mwangu 2 wakati wote waovu wanapokuwa karibu nami.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 10:31Lakini Yehu hakuwa mwangalifu kushika sheria za Bwana, Mungu wa Israeli, kwa moyo wake wote. Hakuziacha dhambi za Yeroboamu, ambazo alikuwa amesababisha Israeli kuzitenda.
1 Chronicles 25:1Daudi, pamoja na majemadari wa jeshi, wakawatenga baadhi ya wana wa Asafu, wana wa Hemani na wana wa Yeduthuni, kwa ajili ya huduma ya kutoa unabii, wakitumia vinubi, zeze na matoazi. Hii ndiyo orodha ya watu waliofanya huduma hii: 1
Psalms 12:4ule unaosema, “Kwa ndimi zetu tutashinda; 2 midomo ni mali yetu, bwana wetu ni nani?” 1
Psalms 62:1Kwa Mungu peke yake nafsi yangu inapata pumziko; 2 wokovu wangu watoka kwake. 1
Psalms 77:1Nilimlilia Mungu ili anisaidie, 2 nilimlilia Mungu ili anisikie. 1
Psalms 141:3Ee Bwana, weka mlinzi kinywani mwangu, 2 weka ulinzi mlangoni mwa midomo yangu. 1