bible.software › Zaburi › Zaburi 40 › Zaburi 40:13
Zaburi 40:13
Ee Bwana, uwe radhi kuniokoa; 2 Ee Bwana, njoo hima unisaidie. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Be pleased, O LORD, to deliver me: O LORD, make haste to help me.
In Context
12Kwa maana taabu zisizo na hesabu zimenizunguka, 2 dhambi zangu zimenikamata, hata nisiweze kuona. 1 Zimekuwa nyingi kuliko nywele za kichwa changu, 2 nao moyo unazimia ndani yangu. 1
14Wote wanaotafuta kuuondoa uhai wangu, 2 waaibishwe na kufadhaishwa; 1 wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, 2 warudishwe nyuma kwa aibu. 1
Read all of Zaburi 40
Cross References
Psalms 25:17Shida za moyo wangu zimeongezeka, 2 niokoe katika dhiki yangu. 1
Psalms 38:22Ee Bwana Mwokozi wangu, 2 uje upesi kunisaidia.
Psalms 71:12Ee Mungu, usiwe mbali nami, 2 njoo haraka kunisaidia, Ee Mungu wangu. 1
This Verse In Other Editions
Study Zaburi 40:13